Pages

Thursday, 19 July 2018

RASMI ALLISON BECKER ATUA LIVERPOOL KWA DAU NONO NA KUWA MLINDA MLAGO GHALI ZAIDI DUNIANI









Klabu ya Liverpool rasmi wamekamilisha usajili wa mlinda mlango wa AS Roma Allison Becker kwa kiasi cha pauni Milioni 67 kwa mkataba wa miaka sita baada ya tetesi za muda mrefu.

Thursday, 24 August 2017

TAZAMA RATIBA KAMILI LIGI KUU TANZANIA BARA 2017/2018

RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka na kutanguliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii, baina ya mabingwa watetezi,Yanga SC dhidi ya washindi wa Kombe la Shirikisho la Soka nchini (TFF),maarufu Azam Sports Federation Cup, Simba SC uliyopigwa Agosti 23, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Friday, 14 July 2017

BAKAYOKO AITEMA MANCHESTER UNITED AJIANDAA KUSAINI CHELSEA SAA 24 ZIJAZO
















Kiungo mkabaji wa klabu ya Monaco Tiemoue Bakayoko anatarajiwa kujiunga na klabu ya Chelsea ndani ya saa 24 kutoka sasa baada ya kuonekana akiwa na wachezaji wa klabu  hiyo akiwemo David Luiz na William katika moja ya mgahawa mjini London

Monday, 10 July 2017

CHELSEA WAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KWA KUVUTA KIFAA KIPYA KUTOKA AS ROMA












Klabu ya Chelsea imefanya usajili wa beki wa kati ambaye alikuwa akihusishwa kujiunga kwa muda mrefu kutoka katika klabu ya AS Roma Antonio Rudiger kwa kiasi cha pauni milion 31 hapo jana.

Sunday, 25 June 2017

PORTUGAL, MEXICO WAFUZU NUSU FAINALI MABARA, KUNDI B LEO












Michezo ya Kundi A ya kupata timu zitakazofuzu katika hatua ya nusu fainali ya Mabara imepigwa hapo jana na kushuhudia Portugal na Mexico wakikata tiketi ya kufuzu katika hatua hiyo.

HAPPY BIRTHDAY LIONEL MESSI MNYAMA







Ikiwa hapo jana ni siku ya kuzaliwa kwa mshambuliaji wa Argentina na FC Barcelona lionel Messi ambaye amefikisha umri wa miaka 30, RAMADHANI KOKOTO.COM inakuletea rekodi pamoja na takwimu zake kwa namba kama zifuatazo:

Wednesday, 7 June 2017

MAN UNITED YAIPIKU REAL MADRID KUWA KLABU YENYE THAMANI KUBWA DUNIANI












Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuipiku Real Madrid katika nafasi ya kwanza kwa timu yenye thamani ulimwenguni kwa sasa kufuatana na jarida la biashara la Forbes.