Pages

Friday, 30 September 2016

CERRA MTAALAMU ALIYEMKASIRISHA MOURINHO UEFA UEROPA LEAGUE

Jana Mourinho alikuwa katika hali mbaya sana Pale Old Trafford baada ya timu yake kuchukua muda mrefu kuandika bao lao ambalo liliwafanya kuchua alama tatu muhimu katika mchezo huo dhidi ya Zorya Luhansk ikiwa ni michuano ya UEFA Europa League.

MAN UNITED WAPATA USHINDI MWEMBAMBA KWA WAGENI ZORYA LUHANSK

Vijana wa Jose Mourinho, Manchestetr United iliwapasa kusubiri mpaka dakika ya 69 katika dimba la  nyumbani Old Trafford ili kupata bao katika mchezo uliyomalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zorya Luhansk.

Thursday, 29 September 2016

MAN UNITED KIBARUA TENA UEFA EUROPA LIGI USIKU HUU



















Baada ya Manchester Unite kuanza vibaya knyanganyiro ya Uefa Europa ligi kwa kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Feyenoord katika dimba la De Kuip Stadium, leo hii wamepata nafasi ya kurejesha matumaini ya kurudi katika mbio za ubingwa wakikutana na timu isiyo na uzoefu katika mashindano hayo Zorya kutoka Ukraine.

TAMBUA SABABU YA ARSENAL KUVAA JEZI YA UGENINI EMIRATES

Klabu ya Arsenal imecheza mchezo wake Ligi ya M,bingwa jana usiku dhidi ya FC Basel na kuibuka na ushindi wa bao 2-0 katika dimba lao la Emirates lakini kuna tukio la klabu hiyo kuvaa jezi ya UGENINI wakiwa katika dimba lao la Nyumbani pale EMIRATES.

ATLETICO WAENDELEZA UBABE KWA BAYERN, MAN CITY ABANWA LIGI YA MABINGWA



Michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya  imeendelea jana usiku kwa kupigwa michezo mbalimbali ikiwemo ule wa kukata na shoka kati Atletico Madrid dhidi ya Bayern Munich uliyopigwa katika dimba la Vicente Calderon.

Tuesday, 27 September 2016

LEICESTER WAPAA KAMA KAWAIDA, MADRID WAKAMATWA NA DORTMUND LIGI YA MABINGWA

Michezo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya imepigwa  usiku wa jana, huku tukishudia Mabingwa wa ligi ya Uingereza Leicester City wakiendeleza ubabe wao kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya FC Porto.

USIKU WA ULAYA LEO NI VITA KUBWA YA WABABE


















Michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya  inaendelea usiku huu kwa baadhi ya michezo ya kukata na shoka kupigwa  katika viwanja mbalimbali ambapo Nyasi zitawaka moto baada ya baadhi ya timu kupata matokeo ambayo siyo mazuri katika michezo ya awali.

Saturday, 24 September 2016

MOURINHO AJITETEA KWA KUMUANZISHA ROONEY NJE

Jose Mourinho amesisitiza kuwa nahodha wake,Wayne Rooney atabakia sehemu ya mipango yake msimu huu mbali kumuhanzisha benchi katika ushindi wa bao 4-1 dhidi ya Leicester City leo.

MAN UNITED YATOA KIPIGO KIKALI KWA WATETEZI LEICESTER
















 Manchester United wamebuka na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya mabingwa watetezi Leicester City mchezo uliyopigwa mapema hii katika dimba la Old Trafford

JOSE MOURINHO ASEMA ROONEY HANA NAFASI YA UPENDELEO MAN U





















Jose Mourinho amekanusha kauli kuwa Wayne Rooney anapata upendeleo kwa meneja huyo mbali na kutoonyesha kiwango cha hali ya juu tangu kuanza kwa ligi ya EPL msimu huu.